Mradi wa bandari ya uvuvi Kilwa wafikia asilimia 90

Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba amesema ujenzi wa bandari ya uvuvi Kilwa wenye thamani ya Sh280 bilioni ni mojawapo ya mradi utakaojibu majibu ya kero zinazowakabili Watanzania ikiwamo ya umasikini.