Serikali imewekeza jumla ya Sh. Bilioni 57 kwa ajili ya ujenzi wa Kituo cha Umahiri cha Usafiri wa Anga na Operesheni za Usafirishaji (CoEATO) kilichopo katika Chuo cha Taifa cha Usatirishaji (NIT), Mabibo jijini Dar es Salaam. Hayo yamesemwa na Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa, alipofanya ziara ya kukagua majengo pamoja na vifaa vya …