WAZIRI wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa amewataka Wanafunzi wanaondelea na masomo, kusoma kwa bidii na kuepuka kuingia kwenye makundi yanayolenga kuvuruga amani ya nchi. Mbarawa ameyasema hayo leo Disemba 19, 2025 katika mahafali ya 41 ya Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) yaliyofanyika chuoni hapo Mabibo, jijini Dar es Salaam ambapo zaidi ya wahitimu 4,000 …