‘Elimu ya historia itolewe kwa ubunifu, teknolojia’

Chama cha Wanahistoria Tanzania (HAT) kimetakiwa kusambaza elimu, utafiti na ubunifu wa kihistoria nchini badala ya kuuacha kwenye makaratasi bila jamii kunufaika nao.