Muhimbili yapokea msaada wa Vifaa Tiba

Katika kuendelea kuunga mkono sekta ya afya nchini, Benki ya Stanbic Tanzania imetoa vifaa tiba vyenye thamani ya shilingi milioni 19.9 kwa Taasisi ya Moyo Hospitali ya Muhimbili, hatua inayolenga kuboresha utoaji wa huduma afya kwa wananchi ili kuongeza ufanisi wa huduma ndani ya hospitali hiyo. Akikabidhi vifaa tiba hivyo Meneja wa Benki ya Stanbic …