Diageo yauza hisa zote EABL kwa Asahi Group

Nairobi, Kenya: Kampuni ya East African Breweries PLC (EABL) imetangaza kuwa kampuni ya Diageo imekubali kuuza hisa zake zote za EABL na umiliki wake katika kampuni ya vinywaji vikali ya UDV (Kenya) Limited kwa kampuni ya Asahi Group kutoka Japan. Hatua hii inaifanya Asahi kuwa kampuni ya kwanza kubwa kutoka Japan kuingia rasmi na kuwekeza kwa … The post Diageo yauza hisa zote EABL kwa Asahi Group first appeared on HabariLeo .