Mwanaume mwenye umri wa miaka 47 nchini Vietnam amefariki dunia baada ya kuacha kutumia dawa zake za shinikizo la damu na badala yake kufuata ushauri alioupata kwenye mitandao ya kijamii. Ushauri huo ulimtaka anywe maji ya limao yenye chumvi nyingi na kuponya shinikizo la damu. Kwa mujibu wa daktari Doan Du Manh wa Chama cha […] The post Mwanaume Afariki Baada ya Kufuata “tiba” ya Mtandaoni, Familia Yafunguka appeared first on Global Publishers .