Fahamu Faida 7 Muhimu za Kunywa Juisi ya Karoti Kila Wiki

Juisi ya karoti ni kinywaji chenye virutubisho vingi muhimu kama vitamini, antioxidants na nyuzinyuzi, ambavyo huchangia kuboresha afya kwa ujumla. Kwa mujibu wa Healthline, juisi ya karoti ina kalori chache na wanga mdogo lakini ina virutubisho muhimu kwa mwili. Kikombe kimoja (takriban gramu 236) cha juisi ya karoti kina wastani wa: Kalori 94 Protini gramu […] The post Fahamu Faida 7 Muhimu za Kunywa Juisi ya Karoti Kila Wiki appeared first on Global Publishers .