▪️Asema Rais Dkt. Samia ni kiongozi anayetekeleza miradi inayotoa majawabu ya kero za Watanzania. WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba Desemba 19, 2025 amekagua maendeleo ya ujenzi wa Bandari ya Uvuvi iliyopo Kilwa Mkoani Lindi. Akizungumza baada ya kukagua ujenzi huo, Dkt. Mwigulu amesema kuwa bandari hiyo ni mojawapo ya miradi mingi inayofafanua kauli za Rais […] The post Dkt. Mwigulu Akagua Maendeleo Ya Mradi Wa Bandari Ya Uvuvi, Kilwa – Video appeared first on Global Publishers .