Ukuaji wa mfuko wa uwekezaji umefikia Sh3.2 trilioni mwishoni mwa mwaka huu ikiwa ni ongezeko kutoka Sh2.2 trilioni zilizokiwapo mwaka uliotangulia