Usikose! Ajira 514 Zatangazwa Afya, TEHAMA na Ufundi – Deadline Disemba 23

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, kwa niaba ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi, MDAs, LGAs, Jeshi la Magereza pamoja na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, ametangaza nafasi 514 za ajira kwa Watanzania wenye sifa na uwezo. Tangazo hilo limetolewa rasmi Desemba 8, 2025, likihusisha kada za afya, mifugo, uvuvi, TEHAMA, […] The post Usikose! Ajira 514 Zatangazwa Afya, TEHAMA na Ufundi – Deadline Disemba 23 appeared first on Global Publishers .