Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imetangaza kuwa ofisi zake zote nchini zitakuwa wazi leo Jumamosi, Desemba 20, 2025, ikiwa ni hatua ya kurahisisha upatikanaji wa huduma za kikodi na kuimarisha utii wa walipakodi. Kwa mujibu wa mamlaka hiyo, huduma zitatolewa kuanzia saa 2:30 asubuhi hadi saa 11:00 jioni, hatua itakayowapa walipakodi muda wa ziada nje […] The post Ofisi za TRA Zipo Wazi Nchi Nzima Kukuhudumia Jumamosi ya Leo, Desemba 20, 2025 appeared first on Global Publishers .