Sintofahamu plastiki ikitajwa kuchochea saratani

Hatari ipo kwenye maeneo ya mito, bahari na maziwa ambako taka za plastiki hutupwa ovyo.