SERIKALI mkoani Geita imeelekeza tathimini mpya ifanyike kufanikisha ukamilishaji wa uwanja wa mpira wa miguu katika Manispaa ya Geita ambao umeshindwa kukamilika kwa wakati. Mkataba wa mradi wa ujenzi wa uwanja huo ulisainiwa Julai 02, 2021 huku gharama za awamu ya kwanza ikiwa ni sh bilioni 2.4 ambazo ni Fedha za Uwajibikaji wa Kampuni kwa … The post Serikali yaagiza tathmini mpya ujenzi uwanja wa mpira Geita first appeared on HabariLeo .