BUCKREEF GOLD YAIMARISHA USHIRIKIANO NA JAMII KUPITIA UPYA WA MAKUBALIANO YA UWAJIBIKAJI KWA JAMII

Kampuni ya Buckreef Gold imezidi kuimarisha ushirikiano wake na Halmashauri ya Wilaya ya Geita kupitia makubaliano ya Uwajibikaji kwa Jamii yenye thamani ya TZS 600,000,000, yanayo lenga kuboresha huduma za afya, elimu, maji na usafi wa mazingira kwa jamii zinazoishi maeneo yanayo zunguka mgodi. Akizungumza wakati wa hafla hiyo, Mkuu wa Mkoa wa Geita, Mhe. Martine Shigella, aliipongeza kampuni ya Buckreef Gold kwa namna inavyo tekeleza maendeleo ya jamii kwa nidhamu na kwa kuzingatia sheria. “Buckreef imeonyesha umakini katika kutekeleza wajibu wake kwa kupanga, kutenga bajeti na kutekeleza miradi yake ya Uwajibikaji kwa Jamii kwa kuzingatia matakwa ya serikali. Muhimu […] The post BUCKREEF GOLD YAIMARISHA USHIRIKIANO NA JAMII KUPITIA UPYA WA MAKUBALIANO YA UWAJIBIKAJI KWA JAMII appeared first on SwahiliTimes .