Kampasi ya UDSM Lindi kuzalisha wataalamu, watafiti kilimo

Amesema ujenzi huo ni ushahidi wa dhamira ya Serikali ya kuhakikisha elimu ya juu inakuwa chombo cha mageuzi ya kiuchumi na kijamii.