Katika ziara yake aliyoifanya leo Jumamosi, Desemba 20, 2025 mkoani Lindi, Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba amekagua ujenzi wa shule ya kisasa inayojengwa na Mradi wa LNG na TPDC.