BURUNGA, Burundi: TIMU ya Kombaini ya Wilaya Makamba mkoa Burunga nchini Burundi imeibuka kuwa mabingwa wa mashindano ya Ujirani Mwema kwa mwaka 2025 baada ya kuifunga kombaini ya Wilaya Kigoma kwa penalti 4-2. Katika mchezo huo uliofanyika Uwanja wa Nkurunzinza Peace Park Complex Mkoa Burunga nchini Burundi, timu hizo zilimaliza dakika 90 zikiwa hazijafungana. Penalti … The post Makamba bingwa mashindano Ujirani Mwema Burundi first appeared on HabariLeo .