Serikali yaonya ununuzi, ugavi kutekelezwa na wasio wataalamu

Maagizo hayo yametolewa jana Ijumaa, Desemba 19, 2025 na Naibu Waziri wa Fedha, Mshamu Ally Munde, kwa niaba ya Waziri wa Fedha, wakati akifungua Kongamano la 16 la PSPTB jijini Arusha.