NAOT ilivyowanoa wanahabari kuinua mjadala ya uwajibikaji
Mfugale ameongeza kuwa Ofisi ya mkaguzi itaendelea kuboresha mifumo yake ya mawasiliano, ili kuwajengea wananchi uelewa mpana kuhusu mamlaka na mipaka ya ofisi hiyo katika usimamizi wa mali za umma.