Fikra za Nyerere ziolivyo msingi wa amani, umoja wa kitaifa
Katika mkutano huo, wajumbe wameeleza kuwa urithi wa fikra na falsafa za Mwalimu Nyerere unaendelea kuwa dira muhimu katika kulinda amani, kuimarisha umoja wa kitaifa na kuongoza mwelekeo wa demokrasia nchini.