Wahitimu Ustawi wa Jamii wapewa mbinu bora ya kuwa wabunifu

Wahitimu wa Chuo cha Ustawi wa Jamii (ISW) wametakiwa kuwa wabunifu na kubadilisha elimu ya huduma za ustawi kuwa biashara ili kujiajiri wenyewe huku lengo kuu ni kutatua changamoto zilizopo ndani ya jamii zao. Akizungumza katika Mahafali ya 49 ya Chuo cha Ustawi wa Jamii Kampasi ya Dar Es Salaam na Mahafali ya nane ya …