Fursa kwa Wananchi Msimu wa sikukuu za mwisho wa mwaka

Tanzania imezindua rasmi kampeni ya “Sikukuu Imenyooka Santa Mizawadi”, kampeni ya miezi mitatu inayolenga kuhamasisha ujumuishaji wa kifedha kidijitali na kuwawezesha wateja   Kampeni hii inahakikisha kuwa kila muamala unakuwa fursa kwa wateja kwa kushinda zawadi nono pamoja na kufurahia huduma za kifedha za kidijitali zilizo salama, rahisi na za kisasa. Kupitia kampeni ya Sikukuu Imenyooka …