Dar es Salaam, 19 Desemba 2025 :KAMPUNI ya Airtel Tanzania imezindua rasmi kampeni ya “Sikukuu Imenyooka na Airtel Santa Mizawadi”, kampeni ya miezi mitatu inayolenga kuhamasisha ujumuishaji wa kifedha kidijitali na kuwawezesha wateja kupitia my Airtel Money app. Kampeni hii inahakikisha kuwa kila muamala unakuwa fursa kwa wateja kwa kushinda zawadi nono pamoja na kufurahia […] The post Airtel Tanzania Yazindua Kampeni ya “Sikukuu Imenyooka na Airtel Santa Mizawadi” appeared first on Global Publishers .