Halmashauri ya Wilaya ya Igunga Yatangaza Ajira 4 za Mwandishi Mwendeha Ofisi

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Igunga anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba ajira za nafasi nne (04) baada ya kupokea kibali kutoka Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora. 1.0 MWANDISHI MWENDESHA OFISI DARAJA LA II Idadi ya Nafasi: 04 1.1 MAJUKUMU NA KAZI Mwajiriwa atakuwa na jukumu la: […] The post Halmashauri ya Wilaya ya Igunga Yatangaza Ajira 4 za Mwandishi Mwendeha Ofisi appeared first on Global Publishers .