Dkt. Mwigulu Aweka Jiwe La Msingi Mradi Wa Maji Lindi-Ruangwa-Nachingwea

WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba leo Desemba 21, 2025 ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa mradi wa maji Lindi-Ruangwa- Nachingwea, katika kijiji cha Chimbila A wilayani Ruangwa Mkoani Lindi. Mradi huo wa maji kutoka Mto Nyangao uliopo Wilaya ya Lindi, unatekelezwa na Wakala wa Maji na Usafi wa mazingira vijijini (RUWASA), na utanufaisha vijiji […] The post Dkt. Mwigulu Aweka Jiwe La Msingi Mradi Wa Maji Lindi-Ruangwa-Nachingwea appeared first on Global Publishers .