Polisi, uhamiaji kuanzisha 'one stop center' kuhudumia watalii

Ili kuboresha huduma kwa watalii, Kituo cha Utalii na Diplomasia kwa kushirikiana na Idara ya Uhamiaji nchini, wanatarajia kuwa na Kituo cha Huduma Jumuishi (One Stop Center) ili waweze kuhudumia watalii kwa haraka.