Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali Mkoa wa Mbeya, imejipanga kudhibiti mianya ya upotevu wa mapato ya ndani na kuwachukulia hatua na watumishi watakaobainika kuhujumu miradi ya maendeleo.