Mbunge wa Uyole, Dk Tulia Ackson amesema ataendelea kugusa jamii kwa kugharamia bima za afya na sare za shule kwa wanafunzi wenye mazingira magumu, pamoja na kusaidia wazee wasiojiweza.