Dkt Mwigulu Aagiza Ziundwe Timu Za Mikoa Za Wakaguzi Wa Miradi – Video

WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amemwagiza Waziri wa Nchi (OWM-TAMISEMI) awaandikie barua Wakuu wote wa Mikoa ili waunde timu za ukaguzi wa majengo na miradi kwenye mikoa yao kama njia ya kukabiliana na wakandarasi wanaokiuka makadirio ya gharama za ujenzi (BOQ) wa miradi ya Serikali. “Yuko Mhandisi ambaye huwa anakagua miradi wakati wa mbio za […] The post Dkt Mwigulu Aagiza Ziundwe Timu Za Mikoa Za Wakaguzi Wa Miradi – Video appeared first on Global Publishers .