Rwanda yafunga makanisa ya kiinjili zaidi ya 10,000

Sheria ya mwaka 2018 inataka makanisa yote yatume mipango ya mwaka ikieleza jinsi yanavyokidhi maadili ya taifa, huku michango yote ikitakiwa kupitiwa kwenye akaunti zilizosajiliwa.