Waandishi wa habari kupimwa moyo bure

TAASISI ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) inatarajia kufanya upimaji wa siku mbili wa magonjwa ya moyo bure kwa waandishi wa habari na wahariri wa Mkoa wa Dar es Salaam na mikoa ya jirani, ikiwa ni hatua ya kukabiliana na magonjwa yasiyoambukiza kwa kundi hilo. The post Waandishi wa habari kupimwa moyo bure first appeared on HabariLeo .