Magonjwa ya moyo yaongezeka Arusha

KUTOKANA na mikoa ya Kaskazini kuongoza kwa matatizo ya magonjwa ya moyo, Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) imeamua kuendelea kufanya kambi maalum ya upimaji na matibabu mkoani Arusha na mikoa ya jirani. Takwimu za JKCI zinaonesha kuwa zaidi ya asilimia tano ya wagonjwa 23,000 waliopata huduma wanatoka katika mikoa ya Kaskazini. The post Magonjwa ya moyo yaongezeka Arusha first appeared on HabariLeo .