Mwigulu aja kivingine ukaguzi miradi

WAZIRI Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba ameagiza wakuu wa mikoa wote wapewe wataalamu watakaokagua miradi ya majengo kwa kutumia vifaa maalumu ili kuthibitisha kama imefanyika kwa usahihi. Dk Mwigulu ametoa agizo hilo kwa nyakati tofauti alipotembelea Hospitali ya Wilaya ya Nachingwea na Chuo cha Uuguzi na Ukunga wilayani humo, Mkoa wa Lindi. The post Mwigulu aja kivingine ukaguzi miradi first appeared on HabariLeo .