Wadau watarajia ripoti ya tume kuimarisha umoja

TUME ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyotokea Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 ikitegemewa na wadau mbalimbali kuimarisha umoja baada ya kuhitimisha utekelezaji wa majukumu yake. The post Wadau watarajia ripoti ya tume kuimarisha umoja first appeared on HabariLeo .