SERIKALI imemuagiza Meneja wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Mbeya amsimamie mkandarasi anayejenga barabara ya Katumba–Lupaso wilayani Rungwe ili ujenzi huo usisababishe kukatika mawasiliano kwa wananchi. The post Tanroads Mbeya yaagizwa kumsimamia mkandarasi first appeared on HabariLeo .