Kila Mtanzania mzalendo ni muumini wa maridhiano

SERIKALI ya Awamu ya Sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan imeonesha dhamira ya dhati ya maridhiano ya kweli tangu alipoingia madarakani. Alifungua mazungumzo ya kisiasa baina ya serikali na vyama vya siasa. Hata baada ya uvunjifu wa amani Oktoba 29, 2025, serikali chini ya Rais Samia imeendelea kuamini katika maridhiano ambayo ndiyo msingi wa amani. The post Kila Mtanzania mzalendo ni muumini wa maridhiano first appeared on HabariLeo .