Makosa ya kifedha katika Krismasi, Mwaka Mpya

BADO takriban siku mbili Wakristo nchini waungane na wenzao duniani kusherehekea kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Yesu Kristo yapata miaka milioni mbili iliyopita, yaani Noel; Sikukuu ya Krismasi itakayofuatiwa na mkesha wa Mwaka Mpya kuuaga mwaka 2025 na kuanza mwaka mpya Januari Mosi, 2026. The post Makosa ya kifedha katika Krismasi, Mwaka Mpya first appeared on HabariLeo .