CRDB yatoa ufadhili wa masomo kwa wanafunzi

Wanafunzi watatu kutoka shule tofauti jijini Dar es Salaam wameshinda ufadhili wa masomo kutoka Benki ya CRDB katika msimu wa pili wa Tamasha la Watoto lililoandaliwa na Kids’ Holiday Festival, lililofanyika jijini hapa.