Krismasi, Mwaka Mpya 2026 ziwe msingi wa amani

KESHOKUTWA ni siku ya Mkesha wa Sikukuu ya Krismasi inayosherehekewa Desemba 25, 2025. Siku kama hiyo wiki ijayo; Alhamisi, Januari Mosi, 2026 ni Sikukuu ya Mwaka Mpya. Hizi ni sikukuu za kiroho zinazostahili si shamrashamra za kimwili, bali za kiroho zaidi maana siku hizi kumaliza mwaka ni kazi. The post Krismasi, Mwaka Mpya 2026 ziwe msingi wa amani first appeared on HabariLeo .