NI wiki nyingine tulivu kabisa tunakutana tena kupitia safu hii nikiamini kwamba umzima buheri wa afya na unaendelea vyema na shughuli zako za kila siku kama kawaida. Mimi namshukuru Mungu ambaye amenipa uwezo wa kuandika makala haya ambayo naamini yatakuwa ni yenye faida kwa wale watakaobahatika kuisoma. Ni kuhusu mapenzi ambapo leo nataka kuzungumzia yanayosababisha […] The post Kwa Nini Penzi Lenu Halina Raha Kama Mwanzo? Chanzo Kipo Hapa appeared first on Global Publishers .