WAZIRI wa Ujenzi, Abdallah Ulega amewataka wakandarasi kuweka kipaumbele utu wa wananchi na kuondoa kero kila wanapotekeleza miradi ya ujenzi nchini, akisema huo ndiyo mwelekeo wa Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan. Akizungumza mkoani Ruvuma, Ulega alisema katika kila mradi wa ujenzi, mkandarasi anapaswa kwanza kutekeleza hatua zitakazoruhusu wananchi kuendelea na maisha yao kwa urahisi … The post Ulega aagiza ujenzi barabara usiwe kero first appeared on HabariLeo .