Wazee mil 1.2 wapewa vitambulisho matibabu bure

SERIKALI imefanikiwa kutoa vitambulisho vya matibabu ya bure na bima za afya kwa wazee 1,256,544 na inaendelea kutoa huduma za matunzo katika makazi 13 ya wazee yanayomilikiwa na serikali. Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, Dk Dorothy Gwajima alisema katika kipindi cha 2022 hadi 2025 wizara hiyo imetoa huduma za msingi … The post Wazee mil 1.2 wapewa vitambulisho matibabu bure first appeared on HabariLeo .