Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, amewataka Wanakagera wanaoishi nje ya Mkoa wa Kagera kurejea nyumbani kuwekeza, akisisitiza kuwa maendeleo ya mkoa huo yanahitaji ushiriki wa wadau wote, hususan wananchi wenye asili ya Kagera waliopo maeneo mbalimbali ndani na nje ya nchi. Waziri Simbachawene ametoa wito huo wakati wa hafla ya kufunga …