Familia zenye uhitaji wa kutoa huduma ya malezi ya kambo, kuasili zaitwa kutuma maombi

Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum imezitaka familia zenye uhitaji wa kutoa huduma ya malezi ya kambo na kuasili kuwasilisha maombi yao kwa kamishna wa ustawi wa jamii kupitia halmashauri zao. Wito huo umetolewa na Waziri Dkt Dorothy Gwajima , alipokuwa akihutubia mkutano wake na waandishi wa habari kuhusu mafanikio ya …