Zaidi ya vijana 100 wanaofadhiliwa kimasomo na shirika la Grumeti Fund kutoka vijiji 22 vilivyopo wilayani Serengeti na Bunda Mkoani Mara wamepatiwa mafunzo na mbinu bora za kujitegemea na kukabiliana na changamoto za kimaisha kwenye maeneo yao pamoja na kupoambana na changamoto ya ukosefu wa ajira badala yake vijana hawa wameze kutumia fursa zilizopo kwenye […] The post GRUMETI FUND YAWAJENGEA UWEZO VIJANA 100 KUPAMBANA NA UKOSEFU WA AJIRA appeared first on Jambo TV Online .