WAZIRI wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amewataka wakandarasi kuweka kipaumbele utu na kuondoa kero kwa wananchi kila wanapopewa kazi za ujenzi akisisitiza kuwa ndiyo mwelekeo wa Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan. Akizungumza mkoani Ruvuma, Ulega alisema kila kwenye kazi ya ujenzi ni muhimu kwa mkandarasi kwanza kufanya mambo yatakayorahisisha maisha ya watu na kulinda utu … The post Maelekezo ya utu ujenzi wa barabara yazingatiwe first appeared on HabariLeo .