JKCI yatoa mil 200/- kwa mwezi msamaha wagonjwa wa moyo

MKURUGENZI Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), Dk Peter Kisenge amesema taasisi hiyo imekuwa ikitoa msamaha wa takribani Sh milioni 200 kila mwezi kwa wagonjwa wa moyo wasiokuwa na uwezo wa kugharamia matibabu. Dk Kisenge alisema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu ujio wa kambi maalumu ya upimaji wa magonjwa ya … The post JKCI yatoa mil 200/- kwa mwezi msamaha wagonjwa wa moyo first appeared on HabariLeo .