Tabia ya kusoma nchini imeendelea kudidimia kwa sababu mbalimbali, ikiwamo ukosefu wa miundombinu ya maktaba, gharama za vitabu, pamoja na mabadiliko ya teknolojia.