ARUSHA: MKUU wa Chuo cha Uhasibu (IAA) mkoani Arusha, Profesa Eliamani Sedoyeka amesema mwaka wa fedha Julai 2025 hadi Juni 2026, chuo hicho kimetenga Sh bilioni 4 kuboresha miundombinu ya kufundishia na kujifunza ili kuendani na mabadiliko ya sayansi na teknolojia. Sedoyeka amesema tayari utekelezaji wa mpango wa madarasa janja ‘smart Class’ kwa lengo la kuwa na … The post Bil 4/- kuboresha ufundishaji IAA Arusha first appeared on HabariLeo .